Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 88 Walikaa Orofani Maneno ya wimbo

Nyimbo za wokovu

Wimbo 88 Walikaa Orofani Maneno ya wimbo

 

Walikaa orofani,
Walikua mamoja;
Na aliposhuka Roho,
Aliyeahidiwa.

Ee Bwana, utujaze,
Na nguvu, utujaze;
Ee Bwana, utujaze,
Tubatizwe sasa.

Nguvu hizo zilishuka
Kama upepo mkuu,
Ndimi za moto zikaja,
Zikakalia watu.

Baba zetu walipata
Nguvu hizo za kale
Sisi pia tutapata
Ahadi ya Milele.

Exit mobile version