Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 72 Tutume, Tutume Maneno ya wimbo

Nyimbo za wokovu

Wimbo 72 Tutume, Tutume Maneno ya wimbo

 

Tutume, tutume, ya Mungu tutume;
Twandame njia yake wetu mfalme;
Kila neno tufanye kwa nguvu zetu
Ambalo yaliona mikono yetu.

Kwa bidii, kwa bidii;
Kwa bidii, kwa bidii;
Na twombe …. tukeshe
Tutume hata aje Bwana.

Tutume, tutume, wa njaa walishwe,
Maji ya uzima wa kiu mwenyweshwe;
Msalaba, beramu yetu ing`are,
Iwahubiri wote neema bure.

Tutume, tutume, sote na tutume,
Ya giza na uwongo enzi ikome;
Ikue ya Bwana; sana na tung`are
Tushukuru kwa neema kuwa bure.

Tutume, tutume, kwa nguvu za Bwana;
Mwisho vao na taji vyapatikana,
Watakatifu kama jua wang`are,
Twimbe sote kwa neema kuwa bure.

Exit mobile version