Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 60 Nina Raha Kwa Mwamba Wa Imara Maneno ya wimbo

Nyimbo za wokovu

Wimbo 60 Nina Raha Kwa Mwamba Wa Imara Maneno ya wimbo

 

Nina raha kwa Mwamba wa imara,
kwa teso langu naukimbilia;
Ni mwenye dhambi na niwe wako,
Mwamba wa Miaka, nafichwa kwako.

Najificha, najificha,
Mwamba wa Miaka,
Nafichwa kwako.

Wakati wa amani ama huzuni,
Niliposhikwa na Majaribu,
Kwa shaka la maisha niende kwako,
Mwamba wa Miaka, nafichwa kwako,
Nilipolemewa katika vitani,
Nashika neema na tumaini;
katika jaribu nasimama kwako,
Mwamba wa Miaka, nafichwa kwako.

Exit mobile version