Nyimbo za wokovu
Wimbo 215 Bwana Mungu Nashangaa Kabisa Maneno ya wimbo
Bwana Mungu nashangaa kabisa
Nikifikiri jinsi vilivyo
Ngurumo, vitu vyote pian
Viumbavyo kwa uwezo wako
nn
Roho yangu na ikuimbie
nJinsi Wewe, ulivyo mkuu
nRoho yangu na ikuimbie
nJinsi Wewe, ulivyo Mkuu
nn
Nikitembea humu duniani
nNdege huimba, nafurahia
nMilima hupendeza macho sana
nKuyatambua ni vigumu mno.
nnn
Mwokozi wetu atakaporudi
nKunipeleka kwenda mbinguni
nNitaimba sifa zake milele,
nWote wajue jinsi ulivyo.