Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 214 Katika Neema Ya Yesu Maneno ya wimbo

Nyimbo za wokovu

Wimbo 214 Katika Neema Ya Yesu Maneno ya wimbo

 

Katika neema ya Yesu, nimeokolewa,nNilipotea dhambini, nilikuwa kipofu
rohoni.

n

Bali neema ya Yesu yanitosha sananIlinifumbua macho yangu, ikanifungua.

n

Kilikuwa mwenye hofu nilifungwa nazonNimefunguliwa sasa kwa neema ya Yesu

n

Nitamsifu Bwana wangu maishani mwote,nKwani nnina ushirika msalabani mwake

n

Tutakapofika wote Mbinguni kwa MungunTutashukuru neema ya Yesu milele.

Exit mobile version