Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 201 Kwa Mji Wa Mwangaza Maneno ya wimbo

Nyimbo za wokovu

Wimbo 201 Kwa Mji Wa Mwangaza Maneno ya wimbo

 

Kwa mji wa mwangaza
Hapana usiku;
Hautapita tena,
Hapana usiku.

Mungu atayafuta
Machozi na hasara;
Hapo miaka itakoma Hapana usiku.

Jua halitakiwi
Hapana usiku;
Yesu ni nuru kweli,
Hapana usiku.

Kwa mji wa mbinguni
Hapana usiku;
Milele furahini,
Hapana usiku.

Exit mobile version