Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 163 Waponyeni Watu Wamo Kifoni Maneno ya wimbo

Nyimbo za wokovu

Wimbo 163 Waponyeni Watu Wamo Kifoni Maneno ya wimbo

 

waponyeni watu wamo kifoni,
Watoeni walio shimoni;
Na aangukaye mumzuie;
Ya Bwana Yesu wahubirini.

Walio kifoni waokoeni,
Mwaokozi yuko, wahubirini.

Wajapokawia anangojea,
Awasubiri waje tobani;
Msiwadharau, muwaonyeni;
Huwasamehe;
wakiamini.

Mioyoni mwa ndani yule Shetani
Ameyaseta mawazo yao;
Lakini kwa Bwana huwa mazima,
Tukiwavuta kwa pole hao.

Kawaokoeni waje njiani;
Mutimize mapenzi ya Bwana;
Na kwa nguvu zake warudi kwake,
Kwa subira waonyeni sana.

Exit mobile version