Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 160 Sauti Ya Mchunga Wetu Maneno ya wimbo

Nyimbo za wokovu

Wimbo 160 Sauti Ya Mchunga Wetu Maneno ya wimbo

 

Sauti ya Mchunga wetu,
Naisikia kwa mwitu;
Anaita kondoo zake,
Waliotoroka kwake.

Walete, Walete,
Kutoka dhambini walete,
Walete, walete,
Na walete kwake Yesu.

Nani amsaidiaye
Yesu, wakosa apate?
Nani atakayeleta
Wale waliopotea?

Sauti zao nyikani,
Hata kutoka mlimani;
Tumesihiwa na Bwana
Kuwaleta na salama.

Exit mobile version