Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 146 Yesu Atwambia Maneno ya wimbo

Nyimbo za wokovu

Wimbo 146 Yesu Atwambia Maneno ya wimbo

 

Yesu atwambia,
Tunawiri
Kama vile taa
Kwa nuru nzuri;
Giza ya dunia
Itatwepuka,
Kila mwenye pake
Kumualika.

Yesu atwambia,
Tuna nawiri:
Kila ukizima
Yuna na habari;
Anatwangalia,
Je? tunawaka
Kila mtu pake,
Kumulika?

Yesu atwambia,
Tumulike;
Kila nchi huwa
Na giza yake;
Taka na hatia
Zikizunguka
Kila mtu pake
Kumulika.

Exit mobile version