Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 131 Ukipenda Kutoka Dhambini Maneno ya wimbo

Nyimbo za wokovu

Wimbo 131 Ukipenda Kutoka Dhambini Maneno ya wimbo

 

Ukipenda kutoka dhambini,
Mwone Mwana-Kondoo.
Alikufia msalabani,
Mwone Mwana-Kondoo.

Mwone Mwana-Kondoo,
Mwone Mwana-Kondoo;
Yesu ndiye awezaye kuponya,
Mwone Mwana-Kondoo.

Ukijaribiwa na shetani,
Mwone Mwana-Kondoo;
Yule mwovu, na usimsadiki,
Mwone Mwana-Kondoo.

Ukichoka katika safari,
Mwone Mwana-Kondoo:
Ana rehema, na bila shaka
Mwone Mwana-Kondoo.

Exit mobile version