Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 125 Twende Kwake Maneno ya wimbo

Nyimbo za wokovu

Wimbo 125 Twende Kwake Maneno ya wimbo

 

Twende kwake, twende kwake Yesu, sasa,
Sasa twende kwake, kwake Yesu sasa!

Akwokoe, akwokoe, Bwana Yesu sasa,
Sasa akwokoe, Bwana Yesu, sasa!

Msadiki, msadiki, Bwana Yesu, sasa,
Sasa msadiki, Bwana Yesu sasa!

Anaweza, anaweza, Bwana Yesu, sasa,
Sasa anaweza, Bwana Yesu, sasa!

Anapenda, anapenda, Bwana Yesu, sasa,
Sasa anapenda, Bwana Yesu, sasa!

Akubali, akubali, Bwana Yesu, sasa,
Sasa akubali, Bwana Yesu, sasa!

Exit mobile version