Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 121 Usikawie Kumwamini Maneno ya wimbo

Nyimbo za wokovu

Wimbo 121 Usikawie Kumwamini Maneno ya wimbo

 

Usikawie kumwamini,
Usikawie kumkubali;
Usimkane Roho, mpe moyo wako,
Mfungulie moyo, aje kwako.

Usikawie, uje sasa,
Usikawie kuitika;
Yesu aalika, Roho akutaka,
Umeombolezwa, uje sasa.

Usikawie kwa mavuno,
Usikawie, sasa mwisho;
Chagua Uzima, na njia ya Bwana,
Atakuokoa, uje sasa.

Exit mobile version