Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 117 Ungeishi Kwa Yesu Maneno ya wimbo

Nyimbo za wokovu

Wimbo 117 Ungeishi Kwa Yesu Maneno ya wimbo

 

Ungeishi kwa Yesu, kuwa mwema sana?
Ungetembea kwa njia nyembamba?
Mizigo yako yote umwache kubeba,
Atende apendavyo.

Nguvu zake zitakuwezesha,
Damu yake itakusafisha;
Upendo wake utakujaza,
Ni bora atende apendavyo.

Ungempa nafasi kazini kukwita? `
Ungejua raha ya kujitoa?
Ungeokolewa ili uwe imara?
Atende apendavyo.

Ungepata mahali kwa Ufalme wake?
Ungejaribu na maonji yake?
Ungetenda kazi kwa utumishi wake?
Atende apendavyo.

Exit mobile version