Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 114 Chini Ya Mizigo Ya Dhambi Maneno ya wimbo

Nyimbo za wokovu

Wimbo 114 Chini Ya Mizigo Ya Dhambi Maneno ya wimbo

 

Chini ya mizigo ya dhambi,
Watu wengi walemewa;
Bali waweza kufurahi,
Wakipokea uzima.

Uzima, uzima,
Yesu ndiye Mtoaji;
Uzima daima,
Asifiwe Mwokozi.

Mwenye mizigo usishike Huzuni zilizo tele;
Ufungue moyo ujazwe
Na uzima wa milele.

Kama mto ulivyotoka
Mliman, kutuliza bonde;
Ndivyo kutoka Msalaba,
Uko uzima wa tele.

Nchi kavu igarikishwe,
Na tupate ufufuo;
Tusiogope, tutakaswe,
Kutangaza ufufuo.

Exit mobile version