Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 107 Niimbie Mara Mara Maneno ya wimbo

Nyimbo za wokovu

Wimbo 107 Niimbie Mara Mara Maneno ya wimbo

 

Niimbie mara mara
Maneno ya uzima!
Nione zaidi tena
Neno la uzima.
Neno lenye uzuri!
Hufundisha habari.

La ajabu!
La ajabu!
Ndilo Neno lake Yesu!
La ajabu!
La ajabu!
Neno lake Yesu.

Kristo Yu mwema kutoa
Maneno ya Uzima!
Mwenye dhambi kuokoka
Neno la uzima!
Tumeupata bure
Uzima wa milele!
Injili uitangaze,
Maneno ya uzima!
Amani wote wapate,
Neno la Uzima!
Yesu ndiye Mwokozi!
Milele kiongozi!

Exit mobile version