Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 1 Mungu Mtukufu Aliye Bwana Maneno ya wimbo

Nyimbo za wokovu

Wimbo 1 Mungu Mtukufu Aliye Bwana Maneno ya wimbo

 

Mungu mtukufu aliye bwana,
Akamtoa Yesu Mpendwa mwana;
Akawa dhabihu kwa dhambi zote,
kufungua nyia kwa watu wote.

Msifuni, msifuni,
Nchi imsikie;
Msifuni, Msifuni Bwana mshangilie:
Njoni kwake Baba
Kwa yesu Mwana,
Mpeni heshima
Aliye bwana.

Ukombozi wetu, tendo la Mungu,
Ni ukamilifu kwa kila mtu:
Mwenye ukosefu akimwamini,
Atasamehewa na yesu

Ametufundisha mamboya mbingu,
Tukafurahishwa na mwana mungu ;
Ametuinua tukae naye,
Atatuongoza hata milele.

Exit mobile version