Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 85 Kwa Kalvari. Maneno ya wimbo

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 85 Kwa Kalvari. Maneno ya wimbo

 

Muda mwingi nilipotea
Sikufahamu Msalaba
Wala aliyenifilia
Kwa Kalvari

Chorus
Rehema bure no neema
Samaha nalo nilipewa
Ndipo aliponifungua
Kwa Kalvari

Kwa neno lake Bwana Mungu
Nilijiona mimi mwovu
Nikageuka na kutubu
Kwa Kalvari

Yote kwaYesu namtolea
Ndiye Mfalme wa pekee sasa
Kwa furaha nitamwimbia
Kwa Kalvari

jinsi pendo lilivyo kuu
Neema ilishushwa toka juu
Alitufanyia wokovu
Kwa Kalvari

Exit mobile version