Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 82 Damu lmebubujika. Maneno ya wimbo

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 82 Damu lmebubujika. Maneno ya wimbo

 

Damu imebubujika
Ni ya lmanweli
Wakioga wenye taka
Husa?wa kweli

llimpa kuushukuru
Mwivi mautini
Nami nisiye udhuru
Yanisa? ndani

Kondoo wa kuuawa
Damu ina nguvu
Wako wote kuokoa
Kwa utimilivu

Bwana tangu damu yako
Kunisa? kale
Nimeimba sifa zake
Taimba milele

Nikifa tazidi kwimba
Sifa za wokovu
Ulimi ujaponyamaa
Vumbini mwa ufu

Bwana, umenikirimu
Nisiyestahili
Kwa damu yako, sehemu
Ya mali ya kweli

Nikubali kukwimbia
Mbinguni milele
Mungu nitakusifia
Jina Iako pweke

Exit mobile version