Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 81 Si Damu ya Nyama. Maneno ya wimbo

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 81 Si Damu ya Nyama. Maneno ya wimbo

 

Si damu ya nyama
lliyomwagika
lwezayo kuondoa
Dhambi za wakosa

Yeye Bwana Yesu
Sadaka ya Mungu
Mwenye damu ya thamani
Ni Mwokozi kweli

Kwa imani yangu
NamshikaYeye
Naziweka dhambi zangu
ju ya kichwa chake

Mzigo wa dhambi
Sichukui tena
Ameuchukua Yeye
juu ya msalaba

Bwana Yesu ndiye
Mwokozi wa kweli
Tumsifu siku zotze
Twapata uhuru

Exit mobile version