Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 79 Ni “Mtu wa Simanzi!. Maneno ya wimbo

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 79 Ni “Mtu wa Simanzi!. Maneno ya wimbo

 

Ni “Mtu wa Simanzi,”
Mwana wa Mwenye enzi
Mwenye mengi mapenzi!
Asifiwe BwanaYesu!

Akawa matesoni
“Mungu Mwana” yakini
Akatoka Mbinguni
Asifiwe BwanaYesu!

Akapata dhihaka
Mzoea-mashaka
Ndiye yetu sadaka
Asifiwe BwanaYesu!

Tu wenye dhambi sana
Kwako dhambi hamna
Na Mungu twapatana
Asi?we BwanaYesu!

Alikufa Mtini
Akalia dhikini
Sasa yuko Mbinguni
Asifiwe BwanaYesu!

Punde atarejea
Yesu kutunyakua
Ndipo tutamwimbia
Asifiwe BwanaYesu!

Exit mobile version