Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 77 Chini ya Msalaba. Maneno ya wimbo

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 77 Chini ya Msalaba. Maneno ya wimbo

 

Chini ya Msalaba
Nataka aimama
Ndio mwamba safarini
Wa kivuli chema
Ni kweli, kwa roho yangu
Ni tuo kamm
Tatua mzigo wangu
Wakati wa hari

Hapa ni pema sana
Ni ngome kamili
Hapa yameonekana
Mapenzi ya kweii
Kama aiivyoonyeshwa
Yakobo zamani
Msaiaba umekuwa
Ngazi ya Mbinguni

Na Yesu Msalabani
Walimkemea
Alikufa niokoke
Niliyepotea
Naona aiabu sana
Ya mambo mawili
Jinsi alivyonipenda
Niiyest;ahili

Atakayeonana
NaYesu Mbinguni
Njia yake aanzapo
Ni Msalabani
Wokovu upo hapa tu
Mwingine hapana
Kisha kuna furaha kuu
Pamoja na Bwana

Exit mobile version