Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 76 WamwendeaYesu kwa Kusafiwa. Maneno ya wimbo

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 76 WamwendeaYesu kwa Kusafiwa. Maneno ya wimbo

 

WamwendeaYesu kwa kusafiwa
Na kuoshwa kwa damu ya Kondoo?
je, neema yake umemwagiwa?
Umeoshwa kwa damu ya Kondoo?

Chorus
Kuoshwa, kwa damu
Itutakasayo ya Kondoo
Ziwe sa? nguo nyeupe mno
Umeoshwa kwa damu ya Kondoo?

Wamwandama daima Mkombozi
Na kuoshwa kwa damu ya Kondoo?
Yako kwa Msulubiwa makazi
Umeoshwa kwa damu ya Kondoo?

Atakapokuja Bwana-arusi
Uwe sa? kwa damu ya Kondoo!
Yafae kwenda Mbinguni mavazi
Yafuliwe kwa damu ya Kondoo

Yatupwe yalipo na takataka
Na uoshwe kwa damu ya Kondoo
Huoni kijto chatiririka
Na uoshwe kwa damu ya Kondoo?

Exit mobile version