Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 69 Yesu Zamani Bethilehemu. Maneno ya wimbo

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 69 Yesu Zamani Bethilehemu. Maneno ya wimbo

 

Yesu zamani Bethilehemu
Aliyezaliwa wa aibu
Ndiye Mwokozi wa ulimwengu
Akaja kwa mimi

Akaja kwa mimi, akaja kwa mimi
Ndiye Mwokozi wa ulimwengu
Akaja kwa mimi

Yesu akafa Msalabani
Kuniponya akalipa deni
Ni ajabu ya jinsi gani
Kunifia mimi!

Kuni?a mimi, kuniia mimi
Ni Ia ajabu ya jinsi gani
Kunifia mimi

Ni Yeye Huyo tangu asili
Na nilipotanga tanga mbali
Alikuja kwa upole, kweli
Kuniita mimi

Kuniita mimi, Kuniita mimi
Alikuja kwa upole, kweli
Kuniita mimi

Yesu Kristo atarudi tena
Hilo Ianifurahisha sana
Yeye Bwana akionekana
Kunijia mimi

Kumjia mimi, Kunijia mimi
Yeye Bwana akionekana
Kunijia mimi

Exit mobile version