Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 64 Po Pote Mashamba Yajaa. Maneno ya wimbo

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 64 Po Pote Mashamba Yajaa. Maneno ya wimbo

 

Po pote mashamba yajaa
Tele nafaka pevu
Po pote yang’aa meupe
Bondeni na nyandani

Chorus
Mwenye mavuno, twasihi
Upeleke wavuni
Wakusanye mazao
Hata kazi iishe

Wapaleke uchaoni
Waende na jotoni
Mpaka jua Iishukapo
Wakusanye ko kote

Watenda kazi wa Bwana
Mlete sana mazao
Na jioni ingineni
Kwake na furaha kuu

Exit mobile version