Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 63 Safari. Maneno ya wimbo

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 63 Safari. Maneno ya wimbo

 

Katika safari yetu
Kwenda Mbinguni
Tusiishe siku zetu
Usingizini

Chorus
N g’oani! Tujifungeni
Twende zetu juu!
Kristo ndiye kiongozi
Tusihofu tu

Atwekwe badala yetu
Mwenyewe Bwana
Yesu kiongozi wetu
Atapokea

Kisimani, maji tele
Maji mazima!
Maji hayo, ya milele
Yana neema

Njiani miiba mingi
Yatuumiza
Hofu na hatari nyingi
Sana zakaza

Kweli, njia ya Mbinguni
Ni ya mashaka
Tuwe na Yesu njiani
Mara hufika

Exit mobile version