Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 60 Bwana wa Mabwana. Maneno ya wimbo

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 60 Bwana wa Mabwana. Maneno ya wimbo

 

Bwana wa mabwana
Mwenye nguvu sana
Twakusihi:
Neno Ia milele
Na Liende mbele
‘Waongoke tele
Kwa Mwokozi

Tunawaona
Wanavyopatana
Kulipinga
Hawaje! kucheza
Na upanga?

Heri wajitunze
Ile wapatana
Na mwokozi
watafute sana
“Wapate kuona
Yesu kuwa Bwana
Mkombozi

Mungu awaita
Wasije kukuta
Pigo lake
Hakuona vyema
Wakose uzima
Awape rehema
Waokoke

Mwenye utukufu
Tunamshukuru
Weye pweke!
Nasifiwe sana
Baba, Naye Mwana
Na wa tatu tena
Roho Yake

Exit mobile version