Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 59 Tumesikia Mbiu. Maneno ya wimbo

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 59 Tumesikia Mbiu. Maneno ya wimbo

 

Tumesikia mbiu
Yesu, lo! aponya
Utangazeni kote
Yesu lo! aponya
Tiini amri hiyo
Nchini na baharini
Enezeni mbiu hii
Yesu, lo! aponya

imbeni na vitani
Yesu, Io! aponya
Kwa nguvu ya. kombozi
Yesu, lo? aponya
lmbeni wenye shida
Unapoumwa moyo
Na kaburini imba
Yesu, lo! aponya

Mawimbini uenee
Yesu, Io! aponya
Wenye dhambi jueni
Yesu, lo! aponya
Visiwa na viimbe
Vilidi itikeni
Na nchi shangilieni
Yesu, lo! aponya

Upepo utangaze
Yesu, Io! aponya
Mataifa yashangaa
Yesu, lo! aponya
Milimani, bondeni
Sauti isikike
Ya wimbo wa washindi
Yesu, lo? aponya

Exit mobile version