Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 58 Waponyeni Watu. Maneno ya wimbo

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 58 Waponyeni Watu. Maneno ya wimbo

 

Waponyeni watu wamo kifoni
Watoeni walio shimoni
Na aangukaye mumzuie
Ya Bwana Yesu wahubirini

Chorus
Walio kifoni waokoeni
Mwokozi yuko, wohubirini

Wajapokawia anangojea
Awasubiri waje tobani
Msiwadharau, muwaonyeni
Huwasamehe: wakiamini

Myoyoni mwa. ndani yule
Shetani
Ameyaseta mawazo yao
Lakini kwa Bwana huwa mazima
Tukiwavuta kwa pole hao

Kawaokoeni waje njiani
Mutimize mapenzi ya Bwana
Na kwa nguvu zake warudi
kwake
Kwa subira waonyeni sana

Exit mobile version