Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 57 Peleleza Ndani Yangu. Maneno ya wimbo

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 57 Peleleza Ndani Yangu. Maneno ya wimbo

 

Peleleza ndani yangu
lwe safi nia
Kwangu kama kwako Mungu
Idhihiri pia

Peleleza moyo wangu
Unifunulie
Yaliyomo ndani yangu
Nami niyajue

Kwanza washe zako tambi
Kumefunga giza
Nijue ambavyo dhambi
Ni la kuchukiza

Peleleza na mawazo
Ni mbegu za mambo
Asili ya machukizo
Maumbuo-umbo

Zidi kuyapeleleza
Katikati yangu
Hata wishe nifundisha
Udhaifu yangu

Hapo nikikwinamia
Mbele zako, Mungu
Hakika nitakujua
U Mpenzi wangu

Exit mobile version