Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 43 Mtazame Huyo! Aliyeangikwa juu. Maneno ya wimbo

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 43 Mtazame Huyo! Aliyeangikwa juu. Maneno ya wimbo

 

Mtazame Huyo! Aliyeangikwa
juu
Hivi sasa upate ishi
Mwenye-dhambi dhaifu,
mtazame tu
Wala usifanye tashwishi

Chorus
Tazama! Tazama! Tazama
uishi!
Mtazame huyo aliyeangikwa
juu
Hivi sasa upate ishi

Kama Mwana Kondoo
hakuondoa dhambi
Na makosa yako maovu
Kama deni zetu zote hakulipa
Mbona imemwagika damu?

Si kutubu na sala ikomboayo
Ila damu ndiyo salama
Na aliyeimwaga aweza sasa
Dhambi zako kukufutia

Usiwe na shaka, Mungu amesema
Hakuna alipokuja alitimiza
Kazi zote alizoanza

Basi twae uzima kwa kufurahi
Upokee kwa Bwana sasa
Ujijue hakika kwake kuishi
Yesu aishiye kabisa

Exit mobile version