Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 42 Kukawa na Giza Dunia Yote. Maneno ya wimbo

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 42 Kukawa na Giza Dunia Yote. Maneno ya wimbo

 

Kukawa na giza dunia yote
Ni Mwanga wa ulimwengu
lkaisha ulipokuja yote
Ni Mwanga wa ulimwengu

Chorus
Jua,Yesu hana mwenziwe!
Nalipofuka kama wewe
Nokwombea umwone nawe
Ni Mwanga wa ulimwengu

Hatuna giza tudumuo mwake
Ni Mwanga a ulimwengu
Tumwandamiapo nyayoni
mwake
Ni Mwanga wa ulimwengu

Enyi wa gizani wenye kutanga!
Ni Mwanga wa ulimwengu
Kaulekeeni, mpate lenga
Ni Mwanga wa uiimwengu

Tutamwona Mwokozi juu ya
mbingu
Ni Mwanga wa ulimwengu
Ni Nuru za mbingu Kondoo wa
Mungu
Ni Mwanga wa ulimwengu

Exit mobile version