Nyimbo Za Sifa
Wimbo 40 Kivulini Mwa Yesu. Maneno ya wimbo
Kivulini mwaYesu kuna kituo
Kituo mbali na hamu kituo kilicho tamu
Kivulini mwa Yesu kuna kituo
Kivulini mwa Yesu kuna kituo
Raha tu, mle, amani tupu
Furaha tele, Kivulini mwa Yesu
Raha tu, mle, omani tupu
Furaha tele, Kivulini mwa Yesu
Kivulini mwa Yesu nina amani
lliyopita fahamu, tena itakayodumu
Kivulini mwaYesu nina furaha
Furaha yenye fahari, ya kueneza habari