Nyimbo Za Sifa
Wimbo 38 Nasikia Kuitwa. Maneno ya wimbo
Nasikia kwitwa
Na sauti yako
Nikasa?we kwa damu
Ya kwangikwa kwako
Chorus
Nimesongea Mtini poko
Unisa? kwa damu ya
kwangika kwako
Ni mnyonge kweli
Umenipa nguvu
Ulivyonisafi taka
Ni utimilivu
Yesu hunijuvya
Mapenzi imani
Tumai, amani, radhi
Hapa na Mbinguni
Huipa imara
Kazi yake, ndani
Huongezeka neema
Ashindwe Shetani
Huishuhudia
Mioyo ya imani
Ya kuzipata ahai
Wakimuamini
Napata wokovu
Wema na neema
Kwakc Bwana nguvu.
Na haki daima