Nyimbo Za Sifa
Wimbo 37 Mwenye Dhambi Huna Raha. Maneno ya wimbo
Mwenye dhambi huna raha
sikiza nakusihi
Utapata msamaha
KwakeYesu Mwokozi!
Njoo hima, njoo hima
Naye atafurahi
Yésu anakwita sasa
Naye yuko Mbinguni
Hofu ya kifo hapana
Kwako ukiamini
hhoo huna,njoo hima
Utapata amani
Hatakwita siku zote
Ni ye sasa nafasi
Lete na uchafu wote
Kukawa haipasi
Njoo hima, njoo hima
Ni wokovu halisi
Uzima uko kwa Bwana
Twae uzima hasa!
Bure utapatikana
Wokovu twae sasa!
Njoo hima, njoo hima
Twae utakatifu.