Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 3 Jina la Yesu, Salamu!. Maneno ya wimbo

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 3 Jina la Yesu, Salamu!. Maneno ya wimbo

 

jina la Yesu, salamu!
Lisujudieni,
Ninyi Mbinguni, hukumu
Na enzi mpeni

Enzi na apewe kwenu
Watatea dini
Mkuzeni Bwana wenu
Na enzi mpeni

Enyi mbegu ya rehema
Nanyi msifuni;
Mmeponywa kwa neema,
Na enzi mpeni.

Wenye dhambi kumbukeni
Ya Msalabani,
Kwa furaha msifuni
Na enzi mpeni

Kila mtu duniani
Msujudieni,
Kote-kote msifuni
Na enzi mpeni

Sisi na wao pamoja
Tu mumo sifani
Mile-Ie sifa ni moja
Ni “Enzi mpeni”.

Exit mobile version