Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 26 Anipenda ni Kweli. Maneno ya wimbo

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 26 Anipenda ni Kweli. Maneno ya wimbo

 

Anipenda ni kweli
Mungu anena hili
Sisi wake watoto
Kutulinda si zito

Chorus
Yesu anipenda
Yesu anipenda
Kweli anipenda
Mungu amesema

Kwa kupenda akafa
Niokoke na kufa
Atazisa? taka
Sana ataniweka
Anipenda kabisa
Niuguapo sasa
Anitunza Mbinguni
Niliyelala chini
Kunipenda haachi
Tu sote hapa chini
Baada ya mashaka
Kwako tanipeleka

Exit mobile version