Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 19 Roho Yangu Hima. Maneno ya wimbo

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 19 Roho Yangu Hima. Maneno ya wimbo

 

Roho yangu hima, na taa yako
Kaiwashe vyema, hapa si pako
Nguvu zote pia za duniani
Hazitakudhuru ukiamini

Chorus
Yesu yuko mbeIe,Yesu yu
nyuma
Yesu vivyo kando, walindwa
vyema

Adui Shetani, na nguvu zake
Bwana ameshinda kwa kifo chake
Wewe nguvu huna, huna kabisa
Ndiwe mpungufu, mnyonge hasa

Toka na mapema,mbele ya Wote
Omba, bisha sana, maisha yote
Vita vikaliko, macho ukae
jivike silaha, nawe sishindwe.

Bwana Yesu ndiye kwako
Mchunga
Neno lake Bwana ndilo upanga
Mbingu zitakwisha, na nchi pia
Neno lake Bwana Iaendelea

Exit mobile version