Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 183 Sasa Amewasili. Maneno ya wimbo

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 183 Sasa Amewasili. Maneno ya wimbo

 

Sasa amewasili
Msa?ri salama
Huko ng’ambu ya pili
Yuna raha daima

Chorus
Baba, huyo mteule
Twakuachia alale

Machozi ya dunia
Yatafutwa mbinguni
Atatufunulia
Hizi siri za chini

jesu atawaleta
Wazee na vijana
Shetani hatapata
Kuwaumiza tena

Wenye dhambi wajua
Mapenzi ya Mwokozi
Mbeie yake watua
Mizigo hufurahi

Na wenye kutazama
Msalabani kwake
V/atapata uzima
Ndiyo mapenzi yake

Aliyewafilia
Awalinda daima
Amewahurumia
Amewapa salama

Kaburini salama
Mwili huo ulale
Na tumaini jema
La kufufuka kule

Exit mobile version