Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 179 Kulala katika Bwana. Maneno ya wimbo

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 179 Kulala katika Bwana. Maneno ya wimbo

 

Kulala katika Bwana
Usingizi tamu sana
Una na baraka
Kulala huku ni kwema
Ndake furaha daima
Aliyeokoka

Kulala katika Bwana
Ndugu yetu hataona
Hofu wala shaka
Kifo hakina uchungu
Kwake ni iango la mbingu
Aliyeosheka

Kulala katika Bwana
Ni kupumzika sana
Mwisho wa safari
Akilala kwake Yeye
Atapata nguvu naye
Ashinde kaburi

Kulala katika Bwana
Nikifa nataka sana
Kwenda kwake Yeye
Nicakapofufuliwa
Sana nitafurahiwa
Kuonana naye

Exit mobile version