Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 177 Mwokozi Umeokoa. Maneno ya wimbo

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 177 Mwokozi Umeokoa. Maneno ya wimbo

 

Mwokozi umeokoa
Nimekuwa wako Wewe.
Damu imenisa?sha;
Sifa kwa Mwana Kondoo.

Chorus
Utukufu,Ale!uya!
Sifa kwa Mwana Kondoo
Damu imenisa?sha,
Utukufu kwa Yesu!

Nilijitahidi sana
Ha sikupata raha;
Bali kwa kumtegemea
Nilipata baraka.

Daima nimwegemea,
Damu ikifanya kazi,
Nikioga kwa chemchemi
itokayo Mwokozi

Sasa nimewekwa wakfu;
Nitaishi kwakoWewe;
Fahari nishuhudia
Ya wokovu wa bure.

Nasimama kwake Yesu,
Ameponya roho yangu;
Ameniondoa dhambi
Anifanye mzima.

Nilikuwa kifungoni,
Niliteswa na dhambi
Nilifungwa minyororo,
Yesu akanifungua

Sifa, amninunua!
Sifa, nguvu za wokovu!
Sifa, Bwana huhifadhi!
Sifa zake milele.

Na wapendane daima
Wawe waaminifu
Maisha yao na yawe
Yote matakatifu
Kila mtu a?kiri
Zaidi kwa mwenziwe
Watake na mashauri
Pamoja, kwako Wewe

Tena katika arusi
Sisi twaona sasa
jambo jingine la siri
La jesu na Kanisa
Zaidi ya nafsi yake
Aliipenda sana
Wapendane vivyo hivyo
Na waliooana

Na hawa waw?i, Bwana
Sana wabarikie
Wape upaji wa wana
Furaha itimie
Mume huyu na mkewe
Watoto wao, nao
Wafulize kwenda mbele
Hata mbinguni kwao

Exit mobile version