Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 175 Kwa kuwa hutaogopa. Maneno ya wimbo

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 175 Kwa kuwa hutaogopa. Maneno ya wimbo

 

Kwa kuwa hutaogopa
jesu kumkiri
Alama ya Msalaba
iwe ni muhuri

Kwa kuwa huoni haya
Kusimama naye
ltwae yake fahari
Aibu itwae

Kwa kuwa huachi kamwe
Kuwa mwaminifu
Utetee jina lake
Usifanye hofu
Kwa kuwa utaandama
Njia ya taabu

Uinue msalaba
Usiche aibu
Nasi twakucia kwake
Kwa muhuri huu
Mbwako msalaba chini
Taji ndako juu

Exit mobile version