Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 173 Mbele yako Mtukufu. Maneno ya wimbo

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 173 Mbele yako Mtukufu. Maneno ya wimbo

 

Mbele yako, Mtukufu
Malaika wausjudu
Kitini pako masafu
Hawaachi kuabudu

Waliombea rehema
Kina-mama wale wana
Uliikubali sana
Myoyo yao ya huruma

Mkono wako, vivile
Kama umande nyasini
Uliweka kwa upole
Na wema, mwao vichwani

Bwana jesu, hugeuki
Yakusikia imani
Kutwambia “Mna haki
Kijana nileteani”

Nawe sasa, Mungu wetu
Mkubali haja yetu
Takabali haja yetu
Na aishi kwako Bwana

Exit mobile version