Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 168 Twataka Mwona Bwana Jesus. Maneno ya wimbo

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 168 Twataka Mwona Bwana Jesus. Maneno ya wimbo

 

Twataka mwona; Bwana, jesu kwani
jua letu limeanza pinda
Twataka mwona, izidi amani
Vita vya mwisho tupate shinda

Twataka mwona; Msingi wa mwamba
Tuliosimama juu yake
Maisha na kifo tusiche kwamba
Tukiweza kwona uso wake

Twataka mwona; nuru zapungua
Hizo nyingine zilizong’ara
Baraka za njiani zikipwea
Hatulii, kwani ndiye bora

Twataka mwona; kwa mambo ya mwili
Yaipunguza kwona Wewe, Bwana, kweli
Wewe, uliyeondoa deni

Twataka mwona jesu, Bwana wetu
Ana raha, nyemi, na uweza
Alitufia atwombea juu
Nuru ni Yeye, ikome giza

Exit mobile version