Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 166 Nina Njaa Sana, Kiu Hunikaza. Maneno ya wimbo

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 166 Nina Njaa Sana, Kiu Hunikaza. Maneno ya wimbo

 

Nina njaa sana
Kiu hunikaza
jesu uwe mana
Kiu yangu poza

Mkate shibisha
Na litoke jiwe
Maji ya maisha
Ninywe kwako Wewe

Mzabibu kweli
Nikwone U tamu
Moja ndetu hali
Nidumishe mumu

Njia si laini
Tangu kale ngumu
Uwe nami chini
Mwana wa Adamu

Bara iko mbele
Uwe Kande yangu
Yanenee tele
Maji ndani yangu

Exit mobile version