Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 152 Mle Kaburini, Yesu Mwokozi. Maneno ya wimbo

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 152 Mle Kaburini, Yesu Mwokozi. Maneno ya wimbo

 

Mle kaburini, Yesu Mwokozi!
Alilazwa chini, Bwana wangu!

Bwana! Amefufuka,
Kifo kimeshindwa kabisa!
Gizani mle alitoka chini,
Sasa atawala huko Mbinguni!
Yu hai! Yu hai!
Bwana Yesu yu hai!

Aungoja huo, Yesu Mwokozi!
Mchana ujao, Bwana wangu!

Walinda kaburi, Yesu Mwokozi!
Bure ni muhuri, Bwana wangu!

Kifo kimeshindwa, Yesu Mwokozi!
Pingu zimevunjwa, Bwana wangu!

Exit mobile version