Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 145 Mikononi Mwako. Maneno ya wimbo

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 145 Mikononi Mwako. Maneno ya wimbo

 

Mikononi mwako, Una siku zangu
Una siku zangu
Mwenyewe, hali na mali,
Nimekupa Mungu.

Mikononi mwako
Na yanikutayo
Ya heri hata ya shari
Kicheko, kilio

Mikononi mwako
Sichi, sina oga
Mkono wa Baba bure
Hautanipiga

Mikononi mwako
Uliyeangikwa
Wewe uliyenifa
Sana hunilinda

Exit mobile version