Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 131 Ilitoka Nuru Kuu. Maneno ya wimbo

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 131 Ilitoka Nuru Kuu. Maneno ya wimbo

 

Ilitoka nuru kuu
Kuliko nuru zote
Na huo wimbo wa juu
Wapita nyimbo zote
Ndiyo habari tukufu
Ya Kristo wa utukufu
Awajia wapole
Ni Mungu pamoja na sisi lmanweli

Mwaka hwandama mwaka
Wimbo huo na wimbwe
Wapenda kukumbuka
Mzee na wanawe
Ndiye habari tukufu
Ya Kristo wa utukufu
Awajia wapole
Ni Mungu pamoja na sisi lmanweli

Twafurahi siku hii
Ijavyo kila mwaka
Nasi tufanye bidii
Hziku tukikumbuka
Ndiyo habari tukufu
Ya Kristo wa utukufu
Awajia wapole
Ni Mungu pamoja na sisi lmanweli

Exit mobile version