Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 124 Ni Wako Mungu!. Maneno ya wimbo

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 124 Ni Wako Mungu!. Maneno ya wimbo

 

Ni wako Mungu!
Ni furaha kwangu.
Ni raha kumjua Mwokozi wangu.

Aleluya enzi ndako;
Aleluya, Amin.
Aleluya, enzi ndako;
Rejea Yesu.

Mwana wa Mungu
Ndiye fungu Iangu, _
Na moyo hufurahi kwa Yesu wangu.

Raha ya kweli
Ina jina hili,
Na aliyeshika, ana Mbingu kweli.

Nimeingia
Mapendano haya,
Nimepata uzima na Mbingu pia.

Nilipo chini.
Ni mwako kazini,
Hata nije kwako uliko Mbinguni.

Exit mobile version