Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 111 Ni Ujumbe wa Bwana. Maneno ya wimbo

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 111 Ni Ujumbe wa Bwana. Maneno ya wimbo

 

Ni ujumbe wa Bwana, Aleluya!
Wa maisha ya daima.
Amenena mwenyewe, Aleluya!
Utaishi ukitazama.

Tazama! ishi sasa!
Kumiazama Yesu.
Amenena ‘mwenyewe, Aleluya!
Utaishi ukitazama.

Ni ujumbe wa wema, Aleluya!
Nawe shika, rafiki yangu!
Ni habari ya raha, Aleluya!
Mwenye kuinena ni Mungu;

Uzima wa daima, aleluya!
Kwake Yesu utauona,
Ukimtazama tu, aleluyal
Wokovu u pweke wa Bwana.

Exit mobile version