Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 100 Mungu Awe Nanyi Daima. Maneno ya wimbo

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 100 Mungu Awe Nanyi Daima. Maneno ya wimbo

 

Mungu awe nanyi daima
Hata twonane ya pili
Awachunge kwa fadhili
Mungu awe nanyi daima

Chorus
Hata twonane huko juu
Hata twonane kwake kwema
Hata twonane huko juu
Mungu awe nanyi daima

Mungu awe nanyi daima
Ziwafunike mbawaze
Awalishe, awakuze
Mungu awe nanyi daima

Mungu awe nanyi daima
Kila wakati wa shani
Awalinde hifadhini
Mungu awe nanyi daima

Mungu awe nanyi daima
Awabarikie sana
Awapusulie kina
Mungu awe nanyi dairna

Exit mobile version